
"Nikizipata Pesa aisee Mjomba nakuapia utatamani Dunia ipasuke ujizike maana utaiona Dunia Chungu!" Yalikuwa maneno ya kiapo kwa Adana Baada ya kukubaliana kila kitu na Troju. Basi Adana Siku iliyo fuata ni kweli alipewa Vicamera na Troju, mchakato Wa Upelelezi ulianza!. Kila Adana anapo Enda na yule Mzungu alikuwa lazima arekodi mazungumzo Haswa kwenye maswala ya Madili, wakienda sehemu ya maficho kuliko na Madili Yao Adana alikuwa lazima aache camera!. Mr Johnson alikuwa anamwamini Muno Adana kiasi kwamba alimuweka kama msaidizi Wake yaaani wa kumsaidia Kazi ndogo ndogo kama kubeba brifikesi kumuweka Sawa na kila kitu!. Kwa Hiyo Kila kwenye
0 Comments