Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 3 to 4

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 3 to 4

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 3 Mwenyewe akikubali Namuoa tuone Sasa, anajua kanikomoa Eee!" Yalikuwa mawazo ya Bakari akiwa anaona Ndo Njia ya kumkomoa Tausi. Na kweli Baada Ya Siku mbili Bakari alimtafuta Adana na kumwelezea Shida Yake Huku akiwa anaingizia Swala la Ndoa kama chambo ya kumpata Adana haraka, maana alijua Binti Huyo kwa Shida alizo Nazo hawezi kuikataa Ndoa!. Lakini Adana alikuwa Siyo Wa hivyo, alikuwa Siyo okota okota kama Bakari alivyo fikiria, aisee Adana alimtolea Nje Bakari Tena alimpatia Majibu ya mwana ukome, yaani ukiwa Kama mwanaume ukipewa majibu ya hivyo hurudi tena Miaka Mia Labda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments