Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 5 to 6

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 5 to 6

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 5 "Aaaaa Mama Si yule Kipofu anaye Suka vikapu na nyungo pale kwa Mama Gladi!!" Tedi alipendekeza, basi ilifanya Wote wacheke, maana Huyo Lwitiko alikuwa ni Kipofu Tena alikuwa ana kigugumizi ila pamoja na ulemavu Wake Lwitiko alikuwa ni mtaalamu kweli kweli Wa kusuka Nyungo na Vikapu!. "Hahaaa ila Tedi kwa Hiyo unataka tumuozeshe mwenzako kwa Kipofu, Bora angekuwa Kipofu Hata ana Pesa tungesema tutaambulia kitu Sasa pale si tunaenda kumpa Bure!" Mjomba Mtu akiwa anacheka Haswa aliongea!. "Uuuuu ila Baba Tausi inawezekana kama tunataka Adana aolewe Haraka Hata Kesho maana Lwitiko Leo Kesho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments