
Aisee kila Mtu Mule ndani kuanzia Mr Johnson na wenzake Wote walikuwa wanaamini asilimia Mia Tedi Ndo Kaja na Wale Askari, mpaka Mumewe Mr Hasano aliamini Tedi Ndo kamuuza Japo Tedi Naye alikuwa kakamatwa!. Basi Wote walisombwa mpaka Nje Huku Watu Wakiwa wanashudia na kujiuliza kuna Nini, Mr Johnson alikuwa Hana wasiwasi aliamini Hata awamu Hii ushahidi utakosekana na wataachiwa!. Wakati wanawapakiza kwenye karandinga aisee Adana aliruka kwenye Gari na kutoka Mbio, Basi kuna Askari wawili walijifanya kumfukuza Lakini ilikuwa gresha tu!. Mr Johnson na wenzake walienda kufungwa kanyampasila, Baada ya Mr Johnson kutulia Hapo Ndo aligundua ile rimoti Yake
0 Comments