
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Maanisha ni binti mmoja aliechanga mia sana na anatoka kwenye familia ya maisha ya kawaida . Katika familia yao wapo wawili yeye na dada yake Amara. Mama yao alikuwa akiishi kijijini, baba alifariki wakiwa wadogo. Baada ya Amara kumaliza elimu yake ya sekondari alienda mjini kutafuta kazi. Huko mjini alibahatika kupata kazi kwenye saloon moja kubwa na alipata mshahara mkubwa pamoja na marupurupu. Baada ya Manisha kumaliza shule alimchukua na kwenda kuishi nae mjini. Siku moja Manisha alipomaliza shuhuri zake za nyumbani alitoka kwenda kuangalia mazingira huko nje. Alitembea sehemu nyingi na nyingine zilimvutia. Alifika
0 Comments