Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na

Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na

kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia baada ya muda alijua amekosea na kwenda kumuomba msamaha King of Martial Art's Bruce Lee.Na baada ya hapo mambo yalikuwa shwari na kuendelea ku shoot movie,Na jina la movie hii ni "Enter The Dragon" na kwenye movie walikuwepo miamba wengine wengi tuu kama Jimmy Kelly,Yuen Wah na Sammo Hung pale mwanzoni mwa movie alipokuwa akipasha na Bruce Lee huku walimu wakiangalia .Na mwamba mwingine ni Bolo Yeung kule kwenye kisiwa alikuwa kama kubwa la maadui ,Na kwa kupitia movie hii ndipo ninapozidi kuthibitisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments