
SEHEMU YA 16 Maya alianza kutembea na Aron walimfuata nyuma huku akiendelea kumbembeleza. " Maya zinaweza kuweka sawa . " Unaumwa wewe nenda kayaweke sawa wewe na huyo mke wako mjinga , msaliti asiyejua maana ya kupendwa. Aron alimdaka mkono na kumlazimisha amsikilize. Wakiwa wanavutyba pale LIAM akaanza kushika kwenye gari na kuwafuata. " Vipi mr Aron unataka kubaka hadharani? Aron aligeuka kumuangalia LIAM. " Basi unaendelea kunifuata fuata? " Mimi na wewe nani anamfuta mwenzie? Ilinichukua mke na mtoto nikatulia sasa unaona nafaidi nikiwa na Maya nae unataka kumchukua kwa nguvu. Maya alisita mkono wake Aron akamuacha. Maya aliondoka
0 Comments