HARUSI YA MKE WANGU SEHEMU YA 18

HARUSI YA MKE WANGU SEHEMU YA 18

Penzi la LIAM na Maya lilizidi kupamba moto yani walikuwa wanapenda mno. Kila mmoja alimkuta vizuri sana mwenzie. Maya aligundua tabia zote za LIAM alielewa hapa anataka nini na hapa yupo sawa au kakasirika . Pia kwa upande wa LIAM ilikuwa hivyo hivyo . Siku moja walikuwa wamekaa sebleni huku Maya akiwa kajilaza miguuni kwa LIAM na liam alichezea nywele zake. " Baby nimwambie kitu? " Niambie bigboss wangu. " Usije ukaniacha . Maya alitabasamu kidogo. " Kwa dozi ulizobipa haanzaje kukuacha. LIAM unajua umeniroga vibaya wewe baba yani sasa hivi tunakoenda mimi mwenyewe nitakuwa nakwambia unipe dawa ninywe mwenyewe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments