JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 48 na 49

JAMES( KIPENZI CHA  MOYO WANGU❤️) sehemu ya 48 na 49

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA ​Basi bwana nikaludi nyumbani kwangu na nikawa busy sana na familia yangu sikutaka ata kuongea na james na yeye wala hakunitafuta . Basi nikawa busy sana nanmume wangu. Uku mume wangu akinipa mahaba mno.japo akiri ilikuwa inamuwaza sana james ila nilijitahidi sana kumlaani shetani . Na kujitanidi kuacha kumfikilia james. Basi oesho yake asubuh mimi nilienda muhimbili nilikutana na kina james pale mimi nilimsalimia mama yake vizur alinitiakia na alinichangamkia tu. Ile james nilipomsalimia ata kuitikia hakuitikia kabiasa.mimi wla sikumjali. Nikaaanza kumfatailia sasa mama. Na pale mimi najulikana sana na madaktari wengi .kwaiyo haikutupa ugumu sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments