
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ . wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Nikaona ngoja . Haraka sana nikachukua simu nikampigia lewis . Haikuchukua mda akapokea nikamwambia lewis upo wap ? . Akanambia ahaa madame nipo home kwangu. Nikasema sawa lewis nataka kukupa kazi. Akasema eeeee nambie madame bwana kazi gani iyo. Nikasema nataka umfatilie mume wangu kile sehemu anayoenda kuanzia anapotoka kwangu mpaka anapoludi. Nilishangaa nilipomsikia lewis anacheka. Nikamuuliza wewe nini kinakuchekesha eeeeh ebu nambie . Akasema unajua nakuonea huruma sana mshikaji wangu. Hivi mala ngapi nimeshakwambia kuwa uyo mwanaume hakufai . Nikasema lewis ebu acha basi naomba unifanyie kazi yangu plssss. Akasema unajua bwana mshikaji
0 Comments