JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 53

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 53

🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏 wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Unajua nini. Ikiwezekana vunja ndoa na yule mwanaume hana adabu ata kidogo. Kwanza ana tongoza mpaka ndugu zako. Dada yako irene jana katoka kunionesha sms za mumeo anamtongoza.mh moyo wangu ukafanyaa paaah mpaka ndugu tena. Shangazi akasema sio dada yako tu .pia yule mwanaume han adabu ata kidogo. Shangazi akatoa simu yake akanipa mh . Nikaaanza kusoma sms za mume wangu sasa anazomtumia . Nyie nilipata aibu ya mwaka.et jovin anamtongoza shangazi .anamsifia kabisa anapenda matako yake makubwa. Daaaah nilijikaza sana ila nilishindwa nilijikuta nalia kwa kwikwi.mbona uyu mwanaume ananifanyia aya .umaraya gani uhuuu Mana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments