KATRINA Sehemu ya 6

KATRINA Sehemu ya 6

Mwandishi :lissa mwalla Sikuamini macho yangu kitu alichotaka mm nifanye huyu freya.yn mm nilale na mtu kweli?naanzaje kulala na mtu simpendi hata sina makubaliano naye na wakati huo mm nasali?yote ni kunikomoa mm au?mbona inaonesha kabisa yeye na Yule gio sio wapenzi ila alinidanganya tu?niliwaza nyumbn nilimuwaza baba niliwaza mm shule nilitokwa na machozi,sasa bila shule mm nakomboa vipi familia yangu toka umaskinini?baba yangu ametaabika kwa muda mrefu ili tu mm nisome leo narudi sababu ya mwanaume?niliumia sana,nikiwa na waza chris alinivuta akawa ananishika shika mm nalia tu nashindwa hata mkatalia mana naogopa lkn nilimchukia sana freya moyoni,siku io nilivaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments