THE BOSS Sehemu ya 19 na 20

THE BOSS Sehemu ya 19 na 20

Alivyoingia sasa moja kwa moja akaja kwenye meza yangu, nyieee nikajikuta mpaka nimesimama ,yani sielewi ata nimesimama saa ngaoi, na imekuwaje mpaka nimesimama, apo nilikuwa najisemesha kimoyoni kama kasikia ,upumbavu tuliokuwa tunaongea Basi tumekufa, yule baba aksema unasimama nn kwani nimesema usimame, ahaaa nikakaa haraka apo mpka husna ni ashavurugwa, uyu baba hapana nyiee, kwanza macho yakeee, ahaaaa unaweza ukakimbia, uyu boss akanmbia nimekutumia kazi ,from yesterday till today mbona hujafanya iyo kazi, nikasema ahaaa ahaa samahani boss kwani umenitumia wapi, Avish aksema mjinga nn ww, kwaiyo we huelewi kazi zinatumwa waoi, ina maana huwa huangalii tasks zako za siku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments