
Victor Munoz mwenye miaka 22 alikuwa na Makubaliano kamili na Newcastle ila Liverpool imeuteka usajili huo na kumnyakua. Victor Munoz atajiunga na Liverpool kwa mkataba wa miaka 6. Maelezo ya Kifedha na MkatabaAda ya Uhamisho: Liverpool wameamua kuamsha kifungu cha dau la usajili (release clause) chenye thamani ya €40 milioni (takriban £34.6m) kilichopo kwenye mkataba wake na Osasuna. Mgawanyo wa Pesa: Kutokana na makubaliano ya awali, ada hiyo itagawanywa ambapo Real Madrid (klabu yake ya zamani ya vijana) watapokea kiasi kikubwa cha karibu €25 milioni kutokana na vipengele vya mauzo, huku Osasuna wakibakiwa na kiasi kilichosalia. Mkataba mrefu: Muñoz amekubali
0 Comments