
No-10 Anyway nilipotezea kwani niliamini pengine macho ya shemeji angu ndivo yalivo🤪. Lakini chaajabu kilichoniacha mdomo wazi nipale ambapo nilifungua ule mfuko wa zawadi alizonipatia shem kama shemeji !nyiiiie😳 nilihaki kuona pichu yani chupi na sidiria haaaaaa!!!!!😳 ndo nini ivi sasq nae shemu !?kwani anamaana gani kuniletea vitu ivi!?? Kwani nimemuomba ?? Na amejuaje kama napenda sana nguo za rangi hiii!!!!!!😳yani kwakweli niliishia kushangaa tu ,,,,,,ghafla nikiwa nashangaa text iliingia ikusema ivi “Enjoy your self” yani furahia mwenyewe Text ilitoka kwa meji angu cheusi mangala lakini mie ata sikujibu na nilimpotezea kabisa na ata sikusema ahsante. Siku zilisogea nakusogea hadi
0 Comments