MALIETA 🌹 8–9 WEUSI WAKE WAKUNG,AA

MALIETA 🌹 8–9 WEUSI WAKE WAKUNG,AA

Mwandishi :naah mzuri Nikaanza kua na wasiwasi sana moyoni kwa kipindi iko niliwaogopa sana wanaume tofauti na sasa nilivochakaramu😹 bathii buana ndege iliruka hadi tulipofika mahali ambako ndiko ndege hutua yaani uwanja wa ndege ndege ilianza kuteremka taratibu iliteremka hadi ikafika kimo cha chini kabisa na ikashuka kabisa na hatimae ndege ilishuka chini na tukaruhusiwa kuteremka! Tuliteremka looh jamani nchi za watu zimejengwa wallah yani kuna sehemu tulipita tunakanyaga vioo tu jameniii acheni ulaya kuzuri sana. Tulichukuliwa na gari ambayo kumbe ilikua ya shemeji na aliendesha alikua dereva wa shemela yule dereva aliendesha hadi kwenye jumba moja zuri sana la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments