MAREKANI na IRAN wafikia makubaliano ya kumaliza VITA

MAREKANI na IRAN wafikia makubaliano ya kumaliza VITA

Pakistani imetangaza kuwa Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya amani yatakayomaliza rasmi vita vilivyodumu kwa miezi kadhaa kati ya pande hizo huku operesheni zote za kijeshi zikitarajiwa kusitishwa mara moja katika maeneo yote ya mapigano ikiwemo Lebanon. Tangazo hilo limetolewa na waziri mkuu wa Pakistan Shebaz Sharif ambaye amesema makubaliano hayo yamepatikana baada ya mazungumzo makubwa ya kidiplomasia yaliyohusisha upatanishi mbalimbali wa kikanda. Kwa mujibu wa Sharif pande zote zimekubaliana kusitisha kabisa shughuli za kijeshi na kuanza mchakato wa mazungumzo ya kina yatakayolenga kuimarisha amani ya kudumu katika eneo la mashariki ya kati. Makubaliano hayo yanajumuisha pia usitishaji wa mapigano

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments