HARUSI YA MKE WANGU SEHEMU YA 14 na 15

HARUSI YA MKE WANGU SEHEMU YA 14 na 15

SEHEMU YA 14 " ARON kama kweli unanipenda na unanichukuloa kama mke wako naomba ubadilike na unipe heshima yangu kama mke. Aron alimuangalia Lena usoni na kucheka kwa dharau. " Wewe Lena ni wakuongea maneno hayo? " Wewe ndio unataka hayo maisha . Kwanini usiishie kwa amani na zsinifustilie kabisa. Lena nakupa kila kitu pia nakuheshimu ndio maana nikakuchagua na nikakuowa . " Kwahiyo hata mimi nikiwa na wanaume huko nje utakuwa sawa kwako? Ghafla Aron alibadilika na kumuangalia Lena kwa hasira akamsogelea karibu . " Wewe , usije ukajarubu nitakuja kuuwa mtoto wa mtu. " Kumbe una wivu lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments