
Nilitamani nijinyee Mayner mimi 😭nikajibalaguza na kusema mbona unanuka jasho hivo utanifanya nitapike embu kakoge kwanza ndio uje halafu nimevimbiwa mwenzio🙄.. Akajinusa na kusema ushaanza matatizo yako akavua nguo na kuingia kuoga nikajivua gauni nikajifunga khanga nikiwa na kigodolo changu na kujifunika blanket kev alirudi nikajifanya nimelala akasema mmh mama kija wewe ushapitiwa na usingizi akanisogelea na kusema ulale salama nilihema kimyakimya nikisema eeeh baba mungu ninusuru mja wako🤥🤥 nashukuru usiku ulipita akaamka na kujiandaa kwani nilijifanya naumwa akanichumu na kuondoka niliamka na kuanza kulia😭 huku nikijihurumia mwenyewe kwa kazi iliyopo mbele yangu sikuwa napenda kumdanganya mme wangu kiasi hiko
0 Comments