MAYNER🄰 KISA KITAMU CHA KUSISIMUA 1 hadi 5

MAYNER🄰 KISA KITAMU CHA KUSISIMUA 1 hadi 5

01.. ujana una mambo mengi sana.. Naitwa Mayner kwetu nimezaliwa pekeangu kwahiyo nilikuwa naishi kama malkia nafanya ninachojisikia hata shuleni akili za kusoma nilikuwa sina🤣🤣 nilikuwa kichwa cha kuku zero brainšŸ˜.. Mama angu ni mwalimu na baba ni Mjeda yani nilikuwa nasikilizwa kila nitakachokiongea kiufupi sikulelewa katika malezi mazuri lakini kwa upande wangu nilikuwa naona mazuri asa.. basi nikiwa darasa la saba shule ya msingi Simike nikapata mimba kwani mihogo ya kiume niliizingatia bila kujua madhara yake.. Nikamshilikisha mama akanitoa mimba ya wiki mbili sikujua mtu ukitoa mimba kizazi kinakuwa wazi ikaingia nyingine nikaona hii nisimwambie mama nikafanya kuitoa bila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments