
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Daaà h tukatazamana sasa. Akatabasamu kisha akanambia nimefurahi kukuona Nillan..bila shaka na ww umefurahi kuniona na utakuwa mteja wangu. Mh mbona demu mkavu uyu alafu hana ata aibu. Na anaongea yupo serious kabisa ata shaka hana yani. Mi wala.sikucheka na wala sikuongea.nilinyoosha mkono kisha nikaonesha alma ya okey kwa dole gumba.baada ya apo. Ally akasema nilllan toa basi elfu 50 uumpe mtoto si unajua kaja kutuona apa. Mi fresh wala sikuwa na noma.nikavuta pochi .kisha nikatoa elfu 50 nikampa . Akachukua kisha akanipa bussines card yake. Akanambia sasa Nillan ukihitaji huduma yangu . Unaweza kunichek
0 Comments