MCHEZA CHURA Sehemu ya 21

MCHEZA CHURA Sehemu ya 21

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Joel akasema tuheshimiane bwana kwani ushawahi kunambia suala lako ukalikuta sehemu. Basi kuwa na amani tu. Eeeh nambie unataka kusema issue gani. Nimasema sikia mi namtaka yule SANURA. ahaaaaa joele alicheka sana. Yani nilimsikia anacheka kisenge.mi nikabaki nimetulia tu. Akanmbia daah we jamaaa jau sana.kujishau kote pale .kumkanyagia yule demu maraya maraya. Dohh kumbe umeuelewa mzigo ule. Niaksema sikai bwna joel. Unajua mi ni mtu na heshma zangu . Asa naaanzaje kusema mi nimemuelewa maraya kama yule. Sasa acha kucheka.nataka unipe namba zake nataka kuluka nae . Akanmbia daaah hakuna noma . Nakutumia chapu apo.nikasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments