MCHEZA CHURA Sehemu ya 24

MCHEZA CHURA Sehemu ya 24

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Sanura akanisogelea kisha akakaa kitandani. Akanmbia nillan ntakuhudumia vile ww unataka ila nn sheria zangu piah naomba unisikilize . Nikasema sawa nakusikiliza. Akanmbia nillan mm kwanza sifirani. Nyie yupo seriuous anaongea yani kama anaongea vitu vya kawaida tu. Kisha akanmbia alafu mimi ntakupa choice za ww kufanya mapenzi na mm kama utataka twende kavu basi itabidi tupime afya apa. Ili tujilizishe afya zetu . Na kama utakuwa hutaki kwenda kavu .basi hakuna shida na hakuna haja ya kupima ila utatumia tu kinga yako so ww unataka ipi. Ahaaaaa nilivyo na uchu wa kumfaidi uyu demu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments