
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi nikasema nimekuelewa Sanura na nakuamini. Sizani kama kuna chochote kitaenda tofauti. Akanambia wala kuwa na amani kabisa na ujiamini mno. Nikasema sawa naaomba account namba yako sasa nikishakata simu. Akanmbia okey. Basi nikakata simu na apo apo akanitumia account numberyake sasa. Nyie shetani akikusimamia acheni kabisa. Mwanaume nikatuma muamala wa milion 2 apo apo. Alafu sasa mimi pesa yangu huwa ngumu kutoa ovyo .ila nilijishangaa akwa uyu mwanamke. Sikujiuliza wala nn. Si unajua tamaa ilishanizidia mi nikatoa mpunga mrefu kinoma .mna milioni 2 kumpa maraya tu sio suala dogo bwana. Baada ya kutuma pesa.
0 Comments