
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Aseeeee unajua sikupenda kabisa kwamba kwann asema ata baba yangu anauwezo wa kulala na yeye kwaiyo . Mimi na familia yangu yote tushare mwanamke mmoja . Sikuipenda kabisa iyo kauli yake.na ndo mana nilimpiga kibao. Basi akashika shavu kisha akatabasamu .akaniuliza nikugeuzia na hili la kulia. Ama kunipiga uku utakiwa umetosheka. Mimi wala sijali kupigwa na wanaume. Ni kawaida tu na ni changamoto piah katika kazi yangu. So wala sijipi presha. Naona kawaida sana. So hakuna shida muhimu umelizika baada ya kunipiga na kama bado ni ruksa unaweza ukanipiga tena.daaah nikaona uyu demu kweli
0 Comments