MCHEZA CHURA Sehemu ya 28

MCHEZA CHURA Sehemu ya 28

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Aseeeee mh mimi kazi nnayo . Uyu mtoto nae kaumbika sana .daaah yupo powa kinoma. Ila nikaona daah ni tabia za ajabu naingia chumbani kwa mtu sasa ata hodi sijapiga. Nikajisikia vibaya kidogo. Nikasikia Aida anafungua malango akanmbia karibu. Nikasema asante. Kisha nikaingia chumbani kwake. Nikakaa katika sofa la pembeni .kisha yeye alikuwa amekaa kitandani akiwa kanuna sana. Nikamwambia AIDA kwanza smahani kwa kuongia chumbani kwako pasi na hodi sikuwa nimezamilia . Akanmbia wala usijali . Nikasema ni kweli unataka kuondoka kama alivyo nambia mai. Akanmbia yaa nataka kuondoka.nataka kuacha kazi. Nikasema hapana Aida.usiache kazi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments