ME AND YOU 06

ME AND YOU 06

ME AND YOU Sehemu ya 6 Upande wa Stephano alirudi kulala akiwa ana hasira sana! Alitishwa na uhandsome aliokua nao Daniel akiogopa anaweza kuibiwa tunda lake wakati wowote ule. Akalala na kinyongo kikali moyoni, na palipokucha tu asubuhi alimuanza mkewe. "Nataka yule kijana aondoke" "Kijana gani?" "yule mpishi!" "Baba Nova, asubuhi yote hii hakuna hata salamu tayari ushaanza kulalamika mpishi afukuzwe" "Mimi nataka aondoke! Tena leo leo, sitaki abakie humu ndani" "Sina muda wa kutafuta mpishi mwingine! Na tayari amesha saini mkataba! Labda nikuulize kakukosea nini kijana wa watu?" "Hana heshima na adabu kabisa! Analeta ubitozi kazini? Unadhani mtu kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments