
SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia ndani ,,basi nikapeleka yote ndani kisha nikaenda sebleni ili niulize wanahitaji kinywaji gani . Ajabu nikashangaa kuona Shuu anawaletea🤔 , sikutaka kusimama nikapita na kuingia jikoni dakika mbili nyingi akaja na kuniuliza . "Ulikuwa na ratiba ya kupika nini leo?" Nikajibu " wali na samaki " "Hapana achana na samaki ,tutapika wali kuku alafu tutengeze na juice ya matunda" 🤔tu!!huyu kuingiwa na jini mpenda kazi au nini kimempata
0 Comments