
Aseeee akanmbia basi sawa hkuna shida. Ntajalibu kufatilia aseeee hii siku .nilipata amani ya moyo ambayo niliikoss kwa mda sana. Mana jamaa alinihakikishia kabisa kuwa ni wanangi na nimefanana nao. Aloooo nikaanza kumtafuta princess kwenye mitandao ya kijamii. Ila wapi sikumpata.nikaanza kuulizia washikaji. Kuna vidada vilikiwa na urafiki nae japo sio sna wote nikawwatafuta ila wao piah hawakuwa na namba zake wala habari zake zozote. Aseeee kuanzia apo lemi akawa anamtafuta sana princess . Yani mnooo. Uku na mm nikiendelea kupambana sana. Aseee siku iyo lemi akanmbia sikia wewe. Uyu demu itakuwa kabadilisha namba za simu. Hakuna ambae ana namba
0 Comments