
waliondoka wakiwaacha familia ya cathe wakiwa na majonzi makubwa sana hawakuamini kabisa kilichotokea walitamani iwe ndoto upande mwingine kwa mama fatuma alikuwa akimshangaa mumewe tangu asubuhi yuko ndani tu hakutaka kula chochote "kwani leo unashida gani jamani alisem mama fatuma hebu niache alijibu baba fahima sasa nitakuacha kivipi isema mama fatuma mama fatuma jamani niacheeee hunielewi™ isema bba fahima, ikabidi mama fatuma atoke chumbani humo akatoka nje ile anatoka tu akaja wadada watatu wakiwa wamevaa vjola na kiunoni wamefungwa kanga, walikuja kishari kwelikweli nyie vipi mbona hivo alisema mama fatuma unatushangaa kwani tunachekesha tuambie kinyago wako yuko wapi yeye si
0 Comments