MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

Basi mi nikanyamaza . Nikainuka nikaenda kuoga .nikaja kupumzika na maumivu na mtoto wangu. Yani mtoto ananingalia ananambia pole mama. Pole mama yangu. Basi namwambia usijali sijaumia lala mwanagu. Yani hii siku ata kula sikutaka. Nikajilalia zangu mapema sana. Basi bwana hakuludi nyumbani week 2. Nyieeee yani kama aliama .iyo week ya pili ndo namuona. Kaja tu kachukua nguo zake uyo kasepa .mi wala sikuta kumuongelesha wala kumzuia . Na vile kanidunda ile siku mi wala sikuongea nae kabisaaa. Na vile kanidundaaa. Sikutaka shida nae kabisaaa. Ikawa hivyoo. Basi bwana akawa haeleweki kabisaa. Yani alinibadilikia sana zayd. Yani akawa busy

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments