MIMI SIKUACHI🄰 Sehemu ya 43

MIMI SIKUACHI🄰 Sehemu ya 43

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na amani kaka. Na unaendelea vizuri kwa sasa wala haukuumia sana. Pole bwana. Daah ndo nakumbuka nilivyolivaa lile gali. Nikauliza hali ya gari lngu . Daktari alinambia halitamniki.ata wewe kyokuumia sana una mungu sana ww kijana.Basi bwana nilikaa pale hospital week.nzima. ila.sikuongea kabisa na mke wangu. Na akinishika nilikiwa namwambia niache. Yani sikutka aniguse na wala sikuwa najibu chochote aliponiongelesha yani Daah mpaka mama na dada walikuwa wanashangaa. Waaniuliza mbona umekuwa mkari

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments