REAL LOVE Chapter 15

REAL LOVE  Chapter 15

"unafanya nini wewe unataka kujiua" alisema fahima kwa uchungu *ndio tena uniue wewe ambaye hunipendi si nakukera sana niue nipo hapa" alisema seven. sikia mimi kukuua siwezi na kuishi hapa sitaki alisem fahima. "utaishi hapa sitakubari kukupeleka sehemu isiyo salama alisema seven "kama utanilazimisha nitatoroka alisema fahima ***unasemaje wewe rudia tena sasa ondoka nenda njia ile pale nenda alafu uone kama nitakufuata alisema seven kwa sauti ya juu kisha akafungua mlango na kuondoka, akimuacha fahima akiwa amekasirika tu usiku huo huo john alionekana kukutana na mtu sehemu ya maficho ambapo hawawezi kuonekana *""vipi umefanikiwa kuwafatilia aliuliza john ndiyo tena nimewaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments