MR PERFECT SEHEMU YA : 15

MR PERFECT SEHEMU YA : 15

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Baada ya harusi kufungwa, plan rasmi ikaanza. Mimi, Dalton na Robert tukaanza kusuka mpango wetu kwa umakini mkubwa. Lengo lilikuwa moja tu — hakuna mtu hata mmoja alitakiwa kushuku kuwa Dalton alikuwa yupo sawa kiakili na pia jinsi ya kuwaaminisha kuhusu ndoa yetu. Baada ya kila kitu kukaa sawa Robert akavuta simu yake taratibu akampigia Margarita, kumuambia kwamba Dalton alimtoroka wakati wapo hospitalini. Na hii nikwasababu watu wangepata mashaka kuwa imekuaje Dalton akaoa?? Kwani Robert alikua wapi wakati tukio limetokea??? So tulianza kutengeneza mazingira flanii ivii ambayo isingezua maswali mengi. “Hallo Margarita…” “Yes Robert mmefika hospitali?” Margarita akauliza “Yeah

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments