Muigizaji Wa Big Boss Kwa Jina Clam Vevo Anaomboleza Legend Hashimu Kambi

Muigizaji Wa Big Boss Kwa Jina Clam Vevo Anaomboleza Legend Hashimu Kambi

Na Kusema Ni Gharama Kubwa Sana Kumpoteza Staa Na Gwiji Wa Uigizaji Kama Mzee Hashimu. Anasema Alipofikiria Kushuti Vipande Kadhaa Vya Series Yake Ya Sikitu, Aliona Kama Hashimu Kambi Ana Fit Kwenye Character Flani. Akipomtafta Mzee Hashimu, Alitarajia Kambi Ajibebe Kwa Heshima Flani Hivi, Haikuwa Hivo, Hashimu Kambi Alikuwa Mtu Wa kawaida Na Heshima kwa Kazi. Akiwaheshimu Hata Vijanaa Wanaochipukia Na Kufanya Nao Kazi. Hiyo Ndio Moment Inayomliza Sana Clam Vevo. Lala Salama Hashim Kambi 🕊️🕊️

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments