Nia ya ZFF kumleta ilikuwa njema kabisa, lakini huyu Refa wa MUONGO hana lolote, tena “TAPELI” kabisa.

Nia ya ZFF kumleta ilikuwa njema kabisa, lakini huyu Refa wa MUONGO hana lolote, tena “TAPELI” kabisa.

Muoga wa lawama kama vile kwao ni Mikindani Mtwara, faulu nyingi sana ameogopa kutoa hata kadi za njano. Kwa uchezeshaji huu waamuzi wetu tumewadharau buree kabisa, binafsi sina cha kumpongeza kwa 90 minutes. Wacha tumalize 30 tuone, ila KAWAIDA SANA hata Msomali za Zenji angekuwa bora

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments