MUNIRA sehemu ya 32

MUNIRA sehemu ya 32

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Nikasema kiumbe gani mm sina kiumbe chako chochote mbona akanmbia unacho mm najua ile siku tumefanya mapenzi mm nimekupa mimba nina auwakika ww ujaanza kuona any changes nilistuka sana nikasema no mm sina mimba akanambia unayo nna uwakika ile siku nimekupa mimba sikia kacheki utanambia ila sasa usijalibu kutoa mimba yangu utakufa sisi ukoo wote haufagi kilahisi kuwa makini na nishakupa warning Niliona dr tajeed kachanganikiwa ama mbona anaongea vitu ambavyo mm ata sivielew lakin nikashuka tu ata sikutaka ongea nae tena nikaludi hostel nimechoka sana na mawazo mengi, zai akanmbia ww vp imekuaje tena

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments