
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Basi hiyo week end yote mm naumwa tena kweli kweli naumwa serious nilizidiwa mpaka zai akawa anaogopa sasa nikasema zai mm nakufa akanmbia haufi bana akanipeleka hospital nikalazwa siku 2 apo kuna mitiani kama 2 nikakosa zai ndo alikua anenda kufanya anakuja kuniona hospital nilikua serious jamnj naumwaaa vibaya sanaaaa na mimba ipo haikutoka ataaa Siku iyooo zai akaludi hospital na tajeed , nilivyomuona nikastuka akanmbia unaumwa nn serious mpka huwez kuja kufanya mitihani nikasema homa tu, akanmbia sio home munira ulikuwa unajalibu kutoa mimba eeh nikasema sio mimba wala naumwa homa tu akanmbia sawa
0 Comments