MUNIRA sehemu ya 42

MUNIRA sehemu ya 42

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Akaanza nizidi nguvu anafosi kunikisa na kunishika nikasema tameer unataka kunibaka na ww nikaanza msukuma ila kanikamata mnoo anainyonya mdomo kwa nguvu na anauka pombe mnoo mdomoni, nijaanza pilika pilika nae sana ila nilifanikiwa kumsukuma nikakimbilia chumbani kwangu nikiwa nalia sana yani nilia mno nilisema nn hiki tameer nae anataka kunibaka tenaa nililia mnoo nilijifungia mlango namsikia tameer anasema munira fungua tuongea mama angu plsss nisamehe munira naona ata yeye pombe ilimkataaaa Sikufungua nilimuogopa bado mpka asubuh ndo nikafungua nikamkuta kalala nje ya mlango nilivyotoka tu akastuka kanmbia munira munira tuongee plss nikasema kuhusu nn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments