MUNIRA sehemu ya 46

MUNIRA sehemu ya 46

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Nikasema tameer nilikua naenda dukani mala moja akasema ndo na mabego hvyo unaondoka siyo , unaondoka baada ya kumuona broo tajeed sio nikabaki kimyaaaa ata sielew , aksema anakuja tumngoje tuonngeeee, nikachukua nikasema sina cha kuongea nae naomba unifungulie mlango niondoke plsss sitaki matatizo akanmbia no sifungui mlango mpka kaka aje tuyaongeeeee, nikasema tameer sina cha kuongea na tajeeed unaelewa ww , tameer akaja akanikumbatia nahisi alielewa maumivu yangu akanikumbatia nikaanza kulia akanmbia nyamaza muniraa plsssss kila kitu kin hatma Mm nilikusaidia sikujua ww ni mwamnamke wa kaka sikujua , nikasema tumeshaaachana na kaka yako

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments