MUNIRA sehemu ya 47

MUNIRA sehemu ya 47

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Nikapumzika jioni tameer akanigongea nikamkalibisha akaingia kanmbia vp mamy unaendeleaje nikasema nipo powa , akanmbia kuwa na amani munira kila kutu kitakaa sawa nikasema naamini hivyo lakin tameer mm nataka kwenda dodoma kwa zai kidogo nikafresh akili alafu nitaludi, tameer akasema kwa nn munira mbona hapa tajeed kashaondoka na wala hatakuja wala kukusumbua usiondoke bana nikasema mm ntaludi ila naenda kutembea tu pia nataka nienda nyumbani nikawaone wazazi tameer alinibembeleza sana nibaki nilishaona kambi mbayaa tena pale ikabidi aniluhusu tuu Kweli mm nikajiandaaa kesho yake asubub na mapema nikaagana na tamerr japo alinyongea sana ila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments