
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Mama akaanza nishika kama haàmini kama ndo mm nikasema mama ndo mm akanikalibisha ndani , mam akanmbia nisamehe mwanangu kumbe ulipitia mazito mm sijakusukiliza munira mm ni mama mbaya mm , niliachaje kumsikiliza binti yangu kwanza na nikaamini wengine naumia sana mm mwanangu munira nisamehe mama yako Nilimkumbatia mama nikasema mama wewe kwangu ni mzur tena ni mzuri wakati wote umeshapambana sana na mm na ulishaangaika sana na mm umenizaa kwa uchungu na ukanilea vyema wewe ni mzur kwangu mama na mm nilikaa kimya sababu nilijua una hasira bado na mm na wala sio kwamba
0 Comments