MUNIRA sehemu ya 49

MUNIRA sehemu ya 49

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Akanmbia weee unaona mm sina adabu nitembee na shemeji yangu nazaa na tameer , mh nilibaki mdomo wazi nikasema zai mbona sielew , akanmbia sory munira mm nilimpenda tajeer tangu nimemuona ile siku na nilipojua hauna mahisiano naye nilishindwa zuia hisia zangu kwake nampenda sana na liponitongoza mm sikumkatalia ananipenda piah yupo mbioni anataka kunioa Nikasema dooh wewe mtoto msir na ata tameer hakuwah kunambia mm ayoo kabisa akanmbia bas ndo hvyoo , nikasema sawaaa hakuna shida rafik yangi mm nawatakia kila la heri katika ndoa yenu mungu awafanyie wepesi na hakika ww umepata mwanaume

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments