
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Badi nikatulia na yeye akakaa akanmbi tucheze game sasa tukingoja mvua nikasema sawa tukaanxa kucheza game tulicheza sana mpka saa 4 mvua haijakatika na inazidi mhhh nikasema tajeed nipeleke hvo hvo mvua inazid akanmbia ni hatar kuendesha na mvua kama vp we lala apa kesho asubuh unaondoka nakupa chumba au unamuogopa mshikaji ,mbea uyu uyo mshikaji kamuona wap Nikasema mm sitaki kualal apa nataka niende kwangu akanmbia no sa hz ni hatari na hzi mvua nikasema sawaaaaa, akanmbia njooo akanishika mkono akanipandishaa juuu mpka chumbani kwake nikasema mbona uku kama chumbani kwako akanmbia eeh nakuacha
0 Comments