NERIA Sehemu ya 6

NERIA Sehemu ya 6

Mwandishi;lissa mwalla Heee yani kile kimuhemuhe nikajikuta nimeifunga tena,nikaangalia watu wamelala,heee mm levo kaniandikia barua mm uwiii,nikajifunika blanket eti nisome lkn giza tena heeee heee nilitoka hadi bafuni,nikaifunga sasa nikaanza kusoma.’’dear neri,hope uko powa.nina mengi sana ya kukuambia lkn naomba nianze na machache haya kwanza ili ujue jinsi gani unautesa na kuumiza moyo wangu,nakupenda sana neria,nashindwa hata kusoma na unajua niko form six mwenzako,nikilala nakuota ww,nikinywa maji nakuona kwenye gras,mawazoni kwangu umejaa wewe mrembo neria.nikikuona tu moyo wnagu unadunda hovyohovyo nahisi kupata ugomnjw aw amoyo endapo tu sitokuwa karibu na ww,nakuomba sana nikubalie mwenzie niokoe kwenye haya mateso,moyo wnagu unateketea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments