POSSESSIVE BABY DADY 🔥 2

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 2

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Manisha aliposukuma mlango wa chumba cha massage alisalimia. " Habari handsome. Ayman hakujibu alimkata jicho tu. " Karibu sana kwenye .... Kabla Manisha hajamaliza kuongea alinyanyua uso wake macho yake yakakutana na yule mwanaume aliyewahi kukutana naye siku ile kwenye gari. Moyo wake ulishituka kwa mshangao. “Wewe.... Ayman naye alimkodolea macho kwa sekunde chache, akakaa kimya kisha akasema . “Subiri… wewe ndiye yule msichana jeuri ulikuwa umesimama kwenye gari yangu? " Wewe kaka ukiongea jaribu kutumia lugha nzuri mimi sio jeuri. " Jina lako nani? Ayman aliuliza huku akimuangalia usoni Manisha alikunja uso na kusema.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments