*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana yaani hawataki msiala na mioyo yao kabisa , we ukimwaga ugari wao watamwaga mboga 😃. Na ukijifanya chizi wao wanakuonesha kuwa wao ni machizi pro 😃kiufupi hiki kizazi hakina mda wakupoteza kucheka na kima wao ni shwaaa twende mbele😀. Haya acha nimlete mrembo wetu ambae amapendezwa kuleta kisa chake ili tupate kujifunza kupitia mapito yake , sasa kwa tetesi na akili za hawa watoto wa elfu 2000

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments