
π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄ Basi bibi mie nikaanzaa safari ya kagera uo mdaa ulikuwa jioni . Nakumbuka gari ilitoka pale stand jioni saa 12. Nilikuwa na mawazo mnoo. Rahul ananiuliza mama tunaenda wapi. Namwamboa tunaenda kwa bibi na kwa babu . Mh nilikuwa na mawazo sana. Yani nilikuwa nawaza mnooo. Na mawazo yalinijaaa aswaaa . Nawaza vingi. Kwanza naludi nyumbani nipo kama chizi. Nimeishaa . Nimekondaaa mnoo. Mwili wangu sasa ni umezorota kwa mawazo. Na nimejawa na alama mwili mzima za kupigwa na mkia wa taa. Nilikuwa mnyonge sana wala sikuwa sawa. Yani sikuwa powa kabisaaa. Mpaka usiku saa 4 . Tukaingia msamvu.
0 Comments