NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 11

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 11

Basi shoga enu nikaendelea na maisha yangu uku bado niko narobert na ndio bwana angu mwenye pesa nyingi,nikiwa nashida kubwa kubwa namchek yeye , na yeye akinihitaji ata kama nilikuwa namiadi na bwana mwingine ujue kaghair naenda kwa Robert maana uyu baba nikikutana nae kunipa elfu ulikuja 50 kwenda juu sio shida zake, mshahara ukitoka sas@ a ndio usiseme jamni ninakuwa nina hela hatari ni anamwaga pesa hovyo hovyo uyu baba nilimkamata sio kidogo yaani . Sidhani kama mke wake alikuwa anafaidi jamani maana nikalibia ela zote mimi ndio nilikuwa nakula sasa . Akawa ananiambia adi mambo ya mke wake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments