NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 9 & 10

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 9 & 10

Shangazi alikuwa kasimama akakaa kabisa . Aksema loooh hata haya we mtoto . Nikasema bwana shangazi nini kwaiyo mlitaka mimi nilale kule bwana mi siwezi kwa kweli ata hivyo ajabaki nacho nimerudi nacho nyumbani . Wote wakawa wananiangalia tu mimi . Nikatoa ile elfu 50 nikaweka mezani nikasema ela yako iyo nyengine nitamaliziaga . Kisha nikaenda chumbani kupumzika mmh uko nikaanza kuchart na yule afande sasa maana alinitafuta akawa ananisifia mno yaaani . Na akataka tuonane tena pale hatukuwa huru mimi ni nani nikatae ila nilimwambia kabisa kikubwa ela iwepo . Akanambia wala usijari mtoto ela tu utapata we nipe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments